Mfumo wa kisasa wa kusimamia mgahawa na utoaji wa vocha za WiFi. Umebuni maalum kwa migahawa ya vijijini Tanzania kwa urahisi na ufanisi.
Pre-Print | Track | Report
Simamia menyu yako
Pakia na chapisha
Sales tracking
Real-time reports
Fanya biashara yako iwe rahisi na yenye ufanisi
Chapisha vocha nyingi mapema mjini na tumia siku nzima. Hakuna printer mgahawani. Kila vocha inaunganishwa na chakula maalum kama coupon.
Hakuna cashier kurekodi kila mauzo! Hesabu vocha zilizobaki jioni, mfumo unahesabu mauzo kiotomatiki. Sales = Printed - Remaining.
Jua vocha zilizobaki kwa kila chakula wakati wowote. Alert automatic wakati stock inapokaribia kuisha. Track kila kitu live!
Rekodi matumizi yote ya mgahawa. Jua unatumia pesa gani, wapi, na lini. Ripoti kamili za gharama na mapato.
Hatua 5 tu kwa siku nzima ya mauzo
Chapisha vocha 100+ kwa printer yoyote. Kadi zote zina QR codes na dish names.
Ingia mfumo, bonyeza "Start Day". System inahesabu vocha zilizochapishwa automatic.
Cashier anauza chakula na kutoa voucher card. HAKUNA kurekodi! Just uza tu.
Hesabu vocha zilizobaki physically. Ingiza namba kwenye mfumo.
Mfumo unahesabu: Sales = Printed - Remaining. Ona mapato, mauzo, na takwimu!
Ingia mfumo sasa na uone jinsi unavyofanya kazi. Hakuna malipo ya kuanza. Mfumo upo tayari kwa matumizi!